Header Ads

SABABU ZILIZOMFANYA CHRISTIAN RONALDO ATAKE KUHAMA REAL MADRID

Staa wa soka wa Kimataifa wa Ureno anayeichezea Real Madrid ya Hispania Cristiano Ronaldo licha ya kutetewa na club yake ya Real Madrid kuhusiana na tuhuma za ukwepaji kodi zinazomkabili, ameripotiwa kufikiria kufanya maamuzi magumu.
Cristiano Ronaldo ambaye ni mchezaji tegemeo katika kikosi cha Real Madridanatuhumiwa kukwepa kodi nchini Hispania katika kipindi kati ya 2011 hadi 2014 kiasi kinachotajwa kufikia pound milioni 13 ambazo ni zaidi ya Bilioni 35 za kitanzania.

Mtandao wa Sky Sports umerReal Madrid kutwaa mataji matatu ya UEFA Champions League anataka kuondoka Hispania kutokana na tuhuma zinazoendelea ambazo anaamini hafanyiwi haki.

ipoti kuwa staa huyo aliyeisaidia
Kama kuna timu itakuwa inamuhitaji Cristiano Ronaldo kumtoa Hispania na kumsajili katika timu yao basi italazimika kuilipa Real Madrid euro bilioni 1 ambazo ni zaidi ya trilion 2.5 za kitanzania, hiyo ni kwa mujibu wa kipengele kilichopoa katika mkataba wake na Real Madrid.
Powered by Blogger.